Innocent Morris
Kujifunza Neno la Mungu, Kukua Kiroho, Uhusiano na Roho Mtakatifu, Maombi
Podcasting since 2022 • 106 episodes
Innocent Morris
Latest Episodes
MAOMBI YA KUNG'OA MAPANDO YA ADUI -Innocent Morris
Omba Mungu aondoe kitu chochote kilicho kaa ndani yako ambacho kinakuzuia usisonge mbele katika eneo lolote la maisha yako.MSTARI:"Akajibu, akasema, Kila pando asilolipanda Baba yangu wa mbinguni litang'olewa."Mathayo
•
1:33:53
JINSI YA KUSHINDA UVIVU WA KUOMBA - Innocent Morris
Uvivu wa kuomba ni adui mkubwa wa ukuaji wa kiroho. Wengi tunajua tunapaswa kuomba, lakini mara nyingi tunajikuta tumechoka, tunasahau, au hatuna hamu kabisa ya kuomba. Katika somo hili, utajifunza kibiblia namna ya kushinda uvivu huu wa kuomba...
•
1:06:28
JIFUNZE KUAMKA USIKU KUOMBA - Innocent Morris
Kuna nguvu ya kipekee inayofichwa kwenye maombi ya usiku! Na maombi ya usiku ni maombi yenye matokeo makubwa katika maisha ya mtu. Katika somo hili utajifunza hatua kwa hatua jinsi ya kujizoeza kuamka bila kuchoka na kufurahia maom...
•
58:28
JINSI YA KUOMBA MAOMBI YA NADHIRI - Innocent Morris
Karibu ujifunze jinsi ya kuomba maombi ya nadhiri.Katika somo hili utajifunza namna sahihi ya kibiblia ya kuomba maombi haya, utajifunza mambo muhimu ya kuzingatia kabla ya kufanya maombi haya, na pia utajifunza ni wapi ulipokuwa unakos...
•
1:05:49
SIRI TANO ZA KUOMBA MAOMBI YENYE NGUVU - Innocent Morris
Je, umewahi kujiuliza kwa nini baadhi ya maombi hujibiwa na mengine hayajibiwi? Je, unatamani kuwa na maisha ya maombi yenye nguvu na yenye matokeo? Ikiwa umechoka kuomba maombi yasiyo na majibu na uko tayari kuona mabadiliko, basi vid...
•
1:03:06