Innocent Morris
Kujifunza Neno la Mungu, Kukua Kiroho, Uhusiano na Roho Mtakatifu, Maombi
Episodes
106 episodes
MAOMBI YA KUNG'OA MAPANDO YA ADUI -Innocent Morris
Omba Mungu aondoe kitu chochote kilicho kaa ndani yako ambacho kinakuzuia usisonge mbele katika eneo lolote la maisha yako.MSTARI:"Akajibu, akasema, Kila pando asilolipanda Baba yangu wa mbinguni litang'olewa."Mathayo
•
1:33:53
JINSI YA KUSHINDA UVIVU WA KUOMBA - Innocent Morris
Uvivu wa kuomba ni adui mkubwa wa ukuaji wa kiroho. Wengi tunajua tunapaswa kuomba, lakini mara nyingi tunajikuta tumechoka, tunasahau, au hatuna hamu kabisa ya kuomba. Katika somo hili, utajifunza kibiblia namna ya kushinda uvivu huu wa kuomba...
•
1:06:28
JIFUNZE KUAMKA USIKU KUOMBA - Innocent Morris
Kuna nguvu ya kipekee inayofichwa kwenye maombi ya usiku! Na maombi ya usiku ni maombi yenye matokeo makubwa katika maisha ya mtu. Katika somo hili utajifunza hatua kwa hatua jinsi ya kujizoeza kuamka bila kuchoka na kufurahia maom...
•
58:28
JINSI YA KUOMBA MAOMBI YA NADHIRI - Innocent Morris
Karibu ujifunze jinsi ya kuomba maombi ya nadhiri.Katika somo hili utajifunza namna sahihi ya kibiblia ya kuomba maombi haya, utajifunza mambo muhimu ya kuzingatia kabla ya kufanya maombi haya, na pia utajifunza ni wapi ulipokuwa unakos...
•
1:05:49
SIRI TANO ZA KUOMBA MAOMBI YENYE NGUVU - Innocent Morris
Je, umewahi kujiuliza kwa nini baadhi ya maombi hujibiwa na mengine hayajibiwi? Je, unatamani kuwa na maisha ya maombi yenye nguvu na yenye matokeo? Ikiwa umechoka kuomba maombi yasiyo na majibu na uko tayari kuona mabadiliko, basi vid...
•
1:03:06
MAOMBI YA UJAZO WA ROHO MTAKATIFU
Je, unatamani kujazwa na nguvu ya Roho Mtakatifu ili maisha yako ya kiroho yabadilishwe kabisa? Je, umekuwa na kiu ya kupokea kipawa cha Roho Mtakatifu na kutamani kunena kwa lugha mpya? Omba sasa maombi haya kwa imani na Mungu wa mbinguni atak...
•
57:38
MAOMBI YA KUOMBA ROHO YA UNYENYEKEVU - Innocent Morris
MAOMBI YA KUOMBA ROHO YA UNYENYEKEVU - Innocent MorrisKatika maombi haya tutamwomba Mungu atujalie roho ya unyenyekevu. Kupitia maombi haya, tunaweka mioyo yetu mbele za Bwana tukijifunza kutembea kwa unyenyekevu, kutii Neno lake na kue...
•
40:38
MAOMBI YA KUOMBA MUNGU AWE PAMOJA NAWE - Innocent Morris
MAOMBI YA KUOMBA MUNGU AWE PAMOJA NAWE - Innocent MorrisKaribu katika maombi haya ili kuomba Mungu awe pamoja nawe katika kila eneo la maisha yako. Tunamhitaji sana Mungu katika maisha yetu kuliko kitu kingine chochote. Kwa hiyo chukua ...
•
1:16:52
MAOMBI YA UKOMBOZI KWA DAMU YA YESU | Deliverance Prayers - Innocent Morris
MAOMBI YA UKOMBOZI KWA DAMU YA YESU | Deliverance Prayers - Innocent MorrisKaribu kwenye maombi haya ya ukombozi kwa Damu ya Yesu Kristo.Damu ya Yesu ina nguvu ya kuleta uponyaji, uhuru, msamaha na ushindi dhidi ya nguvu zote za...
•
1:15:28
Innocent Morris - Umuhimu wa Kuanza Siku na Bwana.
Katika episode hii, Mtumishi Innocent Morris anafundisha juu ya umuhimu wa kuanza siku yako pamoja na Bwana. Ujumbe huu unaleta mwanga juu ya nafasi ya Mungu katika kila mwanzo wa siku zetu na jinsi ushirika wa kila asubuhi ...
•
29:59
Faida Za Kukaa Kwenye Uwepo wa Mungu
Ubarikiwe sana.Innocent Morris+255652796450 (WhatsApp)Instagram Page: holyspiritconnectFacebook Page: Holy Spirit ConnectYouTube Link: Holy Spirit Connect Contact: +255652796450 (WhatsApp)
•
29:06
Jinsi ya Kukua Kiroho (Sehemu ya Sita)
Ubarikiwe sana.Innocent Morris+255652796450 (WhatsApp)Instagram Page: holyspiritconnectFacebook Page: Holy Spirit ConnectYouTube Link: ...
•
Episode 6
•
30:00
Jinsi ya Kukua Kiroho (Sehemu ya Tano)
Ubarikiwe sana.Innocent Morris+255652796450 (WhatsApp)Instagram Page: holyspiritconnectFacebook Page: Holy Spirit ConnectYouTube Link: Holy Spirit Connect
•
30:00
Jinsi ya Kukua Kiroho (Sehemu ya Nne)
Ubarikiwe sana.Innocent Morris+255652796450 (WhatsApp)Instagram Page: holyspiritconnectFacebook Page: Holy Spirit ConnectYouTube Link: Holy Spirit Connect Contact: +255652796450 (WhatsApp)
•
Episode 4
•
30:00
Jinsi ya Kukua Kiroho (Sehemu ya Tatu)
Ubarikiwe sana.Innocent Morris+255652796450 (WhatsApp)Instagram Page: holyspiritconnectFacebook Page: Holy Spirit ConnectYouTube Link: Holy Spirit Connect Contact: +255652796450 (WhatsApp)
•
Episode 3
•
30:00
Jinsi ya Kukua Kiroho (Sehemu ya Pili)
Ubarikiwe sana.Innocent Morris+255652796450 (WhatsApp)Instagram Page: holyspiritconnectFacebook Page: Holy Spirit ConnectYouTube Link: Holy Spirit Connect Contact: +255652796450 (WhatsApp)
•
Episode 2
•
30:00
Jinsi ya Kukua Kiroho (Sehemu ya Kwanza)
Ubarikiwe sana.Innocent Morris+255652796450 (WhatsApp)Instagram Page: holyspiritconnect Facebook Page: Holy Spirit Connect YouTube Link: Holy Spirit Connect
•
Episode 1
•
29:46
Vitu Vinavyo Nyonya Nguvu ya Mungu Kwenye Maisha Yako (SEHEMU YA TATU)
Can faith heal the body and spirit? Tune in to hear miraculous stories of divine intervention against serious illnesses like malaria, heart disease, cancer, and HIV. By exploring the powerful symbolism of the blood of Jesus and the importance o...
•
30:00