
Innocent Morris
Kujifunza Neno la Mungu, Kukua Kiroho, Uhusiano na Roho Mtakatifu, Maombi
Innocent Morris
Innocent Morris - Umuhimu wa Kuanza Siku na Bwana.
Katika episode hii, Mtumishi Innocent Morris anafundisha juu ya umuhimu wa kuanza siku yako pamoja na Bwana. Ujumbe huu unaleta mwanga juu ya nafasi ya Mungu katika kila mwanzo wa siku zetu na jinsi ushirika wa kila asubuhi na Roho Mtakatifu unavyoweza kubadilisha maisha yako kabisa. Ni wakati wa kujifunza, kuhamasika, na kuchochewa kiroho ili uanze kila siku ukiwa na nguvu mpya kutoka kwa Bwana.
Ubarikiwe sana.
📞 Innocent Morris
WhatsApp: +255652796450
🔗 Mitandao ya Kijamii:
📸 Instagram: @holyspiritconnect
📘 Facebook: Holy Spirit Connect
▶️ YouTube: Holy Spirit Connect
📱 WhatsApp: +255652796450